100% pure virgin coconut oil (VCO)
Ingredients: Organic,
unrefined, cold-pressed , virgin coconut oil .
Shelf life 2years
Contacts 0754 749382
dominankuba@yahoo.com
Produced and packed by TUNU Agric
Products and Consultancy LTD Po Box
39844 Pugu Kinywamwezi-
IT WEB DESGNER 0715770166 EMMANUEL MASYENENE
VILEVILE UNAWEZA KUSOMA ZAIDI KUHUSU MATUMIZI YA MAFUTA YA TUNU HAPA CHINI
Umuhimu na matumizi ya ‘mafuta mwali ya nazi’
1. Huua vijidudu kama
bacteria wabaya, virusi na fungusi
2. Virutubisho vyake
huimarisha kinga ya mwili
3. Mazuri kwa afya ya ubongo:
Huongeza kumbukumbu na ubongo kufanyakazi vizuri
4. Hupunguza uwezekano wa
kupata magonjwa ya moyo
5. Yanaharakisha mmengenyo wa
chakula
6. Huzuia magonjwa ya ini,
figo na kongosho
7. Huyeyusha mawe kwenye
kongosho
8. Hupunguza lehemu mwilini
na
9. mafuta mabaya
10.
Hukinga mwili na mionzi ya jua
11.
Huponya na kuimarisha afya ya ngozi
12.
Mazuri kwa afya ya nywele
13.
Hupunguza mafuta yatumbo na kwenye viungo vingine
14.
Hupunguza kifafa kwa watoto
15.
Yana antioksidanti ambayo huzuia na kuponya saratani
16.
Hutibu kongosho na ugonjwa wa
kusahau (Alzheimer)
17.
Huukinga mwili na kisukari
18.
17.Hukabiliana na meno kuoza (Munghunya)
19.
Hutibu vidonda vya tumbo
20.
Hutibu UTI na magonjwa ya figo
21.
Hufanya usizeeke haraka
22.
Huponya vidonda
23.
Husaidia kuongeza nguvu za kiume
24.
Huondoa uchovu
Matumizi pendekezwa kwa siku
Wakubwa vijiko vya mezani 3 kwa
siku
Watoto kuanzia miezi 7 vijiko vya chai 3 kwa siku
TUNU VIRGIN
COCONUT OIL
Yamesajiliwa
na TFDA
No comments:
Post a Comment
tutumie ujumbe wa maneno kupitia email hii :